MWAKA 2025 ni miongoni mwa miaka iliyobeba huzuni na mshtuko mkubwa kwa mashabiki wa michezo na burudani duniani. Huu ni mwaka ambao umeshuhudiwa baadhi ya mtukio makubwa ya kuhuzunisha ...
MANCHESTER United imeingia gharama kubwa kwa wachezaji majeruhi katika kipindi cha misimu mitano iliyopita ikitumia Pauni 155 milioni, ikiwa ni kiwango kikubwa kuliko klabu nyingine yoyote ...
HAYAWI hayawi yamekuwa. Baada ya kungoja kwa miaka, miezi, wiki na sasa ile siku imewadia na utepe wa mashindano ya kusaka ubingwa wa Afrika utakatwa huko Morocco usiku wa leo Jumapili.
SIR Alex Ferguson amesema inaweza kuwachukua Manchester United miaka mingine 10 kabla ya kunyakua tena taji la Ligi Kuu ...
Kukosa namba kwa Nkane kikosini hapo, kunatokana na uwepo wa Pacome Zouzoua, Maxi Nzengeli, Offen Chikola, Celestine Ecua ambao wamekuwa wakianza na kubadilishana mara kadhaa wakicheza nafasi ...
Uamuzi wa Simba kumkabidhi Barker mikoba ya Dimitar Pantev unakuja katika kipindi ambacho klabu hiyo inapitia presha kubwa ya ...
KOCHA mkuu wa zamani wa Yanga, Luc Eymael, amewatabiria wenyeji Morocco nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa wa Kombe la Mataifa ya ...
TANGU mwaka 2025 ulipoanza hadi sasa anapokaribia kutia nanga, wasanii wa Bongo Fleva wametoa nyimbo nyingi zilizopokelewa ...
Tangu akiwa na kundi la Hard Blasters Crew (HBC) hadi aliposimama peke yake, Professor Jay ametumia sanaa yake vizuri akifikisha ujumbe wenye maudhui ya kuisaidia kijamii kwa sehemu kubwa.
KWA zaidi ya miongo miwili, Jiji la Mwanza lilikuwa ngome muhimu ya soka la Tanzania, viwanja vya CCM Kirumba na Nyamagana ...
KATI ya mambo yanayosubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wengi duniani kote, ni kumWona Cristiano Ronaldo, 40, katika Fast & ...
AKIWA anacheza kama winga wa kulia pale Manchester City, bado miguu ya Savinho, 21, pamoja na mke wake, Anna Moreira, 20, ...