News

Katika jitihada za kuongeza uzalishaji wa gesi asilia nchini, visima vipya vitatu vinatarajiwa kuchimbwa katika eneo la Mnazi ...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yusuf Masauni ameiagiza Bodi mpya ya Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kushughulikia changamoto ...
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Alexander Mnyeti, amesema serikali ina mpango wa kununua meli maalum kwa ajili ya shughuli za uvuvi katika Bahari Kuu, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kukuza uchumi wa bl ...
CHAMA cha ACT Wazalendo kimetoa sababu tatu kuu zilizowasukuma kushiriki uchaguzi mkuu wa mwaka huu, ikiwemo kutetea na ...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimetangaza rasmi kuhamishia kampeni yake ya ‘No reform, No election’ katika ...
Serikali imetoa mafunzo kwa jumla ya wataalamu wa afya 2,840, wakiwemo madaktari na wauguzi, ili kuwawezesha kutambua na kushughulikia changamoto zinazohusiana na magonjwa yasiyoambukiza, ikiwemo afya ...
Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (European Investment Bank Global) imetangaza ufadhili wa dola za Kimarekani milioni 100 kwa AXIAN ...
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe, amesema wakulima hawawajibiki kwenda kutafua mashine za kielektroni kwa ajili ya kutoa risiti ...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema daraja la Kigongo-Busisi lipo hatua za mwisho na litafunguliwa mwezi ujao na Rais Samia Suluhu Hassan. “Vivuko vilivyopo eneo lile vitachukuliwa na kwenda kup ...
TWO men have been sentenced to life imprisonment after being found guilty of defiling children in Chunya District, Mbeya ...
THE Commission for Human Rights and Good Governance (CHRAGG) has been urged to sensitize women in their communities on the ...
PRIME Minister Kassim Majaliwa is expected to travel to the southern regions this week to oversee the restoration of road connectivity following severe disruptions caused by heavy rainfall. Amos ...