“Katika mwaka 2024/25 serikali itafanya kampeni maalum ya kutoa chanjo ya mifugo. Nami naunga mkono kwa sababu nimekubali kwamba serikali ibebe nusu ya gharama za chanjo, lakini nimefurahi kusikia kwa ...
WENGI wanaweza kuwaza kuwa ni simba na mamba, au chui ama tembo lakini, wanyama wengi hawana hatari kuliko inavyotarajia. Mfano papa, huua wanadamu 70 kila mwaka. Inashangaza kwamba viumbe hatari ...