MCHAKATO wa mabadiliko ya Katiba Mpya ya Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa nchini (TPBRC) umeingia ‘mdudu’ baada ya Chama cha ...
Mwanzoni mwa mwezi Januari 2023, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan alitoa tangazo rasmi la kuruhusu mikutano ya hadhara ya kisiasa. Kufuatia katazo lililodumu kwa takribani ...
Vyama vya upinzani Tanzania vimesisitiza kuwa licha ya Mbowe kufunguliwa mashtaka havitarudi nyuma katika vuguvugu la kudai mabadiliko ya katiba mpya. Mwenyekiti Mbowe ambaye jana alifikishwa kimya ...
Kumekuwa na hisia tofauti kufuatia maoni yaliyotolewa leo na kikosi kazi cha kuratibu maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa nchini Tanzania kupendekeza kwa Rais wa taifa hilo Samia ...
Raia wa Tunisia walioshiriki kura ya maoni siku ya Jumatatu wamepiga kwa wingi kura ya "ndiyo" kuunga mkono katiba mpya katika matokeo ya awali, hatua inayompa mamlaka zaid rais Kais Saied. Kura hiyo ...
Gabon imeingia rasmi Jamhuri ya Tano tangu leo Alhamisiasubuhi. Nakala ya Katiba mpya, iliyopitishwa na kura ya maoni mnamo mwezi Novemba, imeidhinishwa mnamo Desemba 19, 2024 na rais wa mpito, wakati ...
ECOWAS imelithibitishia shirika la habari la AFP kwamba imepokea malalamiko ya upinzani na mashirika ya kiraia yaliyowasilishwa Aprili 18, siku moja baada ya kupitishwa kwa hatu ya mwisho kwa Katiba ...
Results that may be inaccessible to you are currently showing.
Hide inaccessible results